Sunday, May 5, 2013

Ufunguzi wa video mpya Club Billicanas

Leo ndo leo, usikose club billicanas makomando watapokua wakiamisha uwanja wa vita stejini kuintroduce video yao mpya ya ugonjwa wa moyo kwa kiingilio cha shillingi 6000 tu pale getini.